MBUNGE MPINA

MBUNGE MPINA смотреть последние обновления за сегодня на .

MBUNGE MPINA ALIPUKA - "WAZIRI ANAWAOGOPA?, WANAPANDISHA BEI, UFISADI"

31597
207
116
00:09:17
09.05.2022

MBUNGE MPINA ALIPUKA - "WAZIRI ANAWAOGOPA?, WANAPANDISHA BEI, UFISADI" WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

BILA WOGA, MBUNGE MPINA AMJIBU WAZIRI SIMBACHAWENE - "ANGEKUJA KUCHANGIA AKAONGEA HAYO MANENO"

16704
87
69
00:14:24
14.09.2022

BILA WOGA, MBUNGE MPINA AMJIBU WAZIRI SIMBACHAWENE - "ANGEKUJA KUCHANGIA AKAONGEA HAYO MANENO" NI mkutano wa 8, kikao cha pili cha bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania umeendelea tena leo Septemba 14, 2022 jijini Dodoma. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MBUNGE MPINA NAYE AWASHA MOTO BUNGENI ISHU YA KUKATIKA KATIKA KWA UMEME!

8331
73
52
00:02:47
16.02.2022

MBUNGE MPINA NAYE AWASHA MOTO BUNGENI ISHU YA KUKATIKA KATIKA KWA UMEME! WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

MBUNGE MPINA AMKUMBUKA MAGUFULI NA KIKWETE, MAAMUZI MAGUMU WALIYOFANYA JIMBONI KWAKE..

1398
2
25
00:09:51
21.10.2022

MBUNGE MPINA AMKUMBUKA MAGUFULI NA KIKWETE, MAAMUZI MAGUMU WALIYOFANYA JIMBONI KWAKE.. MBUNGE wa jimbo la Kisesa (CCM) Luhaga Mpina amempongeza Rais Samia kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa madaraja katika mkoa wa Mwanza. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Mbunge Mpina akiamsha bungeni , deni la Serikali limeongezeka , 'Spika tuunde tume ya uchunguzi'

2695
24
10
00:13:51
20.06.2022

Spika tuunde tume ya uchunguzi, utanishukuru : Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, jijini Dodoma leo. Mpina amemshauri Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuunda tume ya uchunguzi ili bunge lichunguze uchelewashaji wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere, bei za mbolea, kupanda kwa bei ya mafuta ikisingiziwa sababu ni vita nchini Ukraine na malimbokizo kodi. Amesema majibu yatakayopatikana katika uchunguzi huo spika atamshukuru.

MPINA AJILIPUA - "TUMEKOPA KULIKO TULIVYOAHIDI, DENI LA SERIKALI LIMEONGEZEKA"

170617
843
344
00:13:17
20.06.2022

MPINA AJILIPUA - "TUMEKOPA KULIKO TULIVYOAHIDI, DENI LA SERIKALI LIMEONGEZEKA" WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

MUSUKUMA ATEMA CHECHE BUNGENI, AMLIPUA MBUNGE MPINA, SPIKA TULIA AINGILIA KATI...

33272
210
28
00:03:21
08.04.2022

MUSUKUMA ATEMA CHECHE BUNGENI, AMLIPUA MBUNGE MPINA, SPIKA TULIA AINGILIA KATI...

Luhaga Mpina Auwasha Moto Bungeni I Aliyefuta Kodi za Watanzania ni Nini..?

5405
36
19
00:06:43
02.11.2022

Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina, wakati wa kuchangia Bungeni taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Kiserikali (PAC), amesema taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2019-2020 inatambua serikali inadai shilingi Trilioni 360 na ilipofikia taarifa ya CAG mwaka 2022-2021 CAG alisema inaonyesha kuwa kesi za makinikia zifuatazo 45 zenye thamani ya shilingi Trilioni 5.95 ziliamuliwa na mamlaka za rufani za kodi za TRAB NA TRAT. Tembelea akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media" tumekuwekea kwa useful zaidi. #KutokaBungeni #Fiesta2022 #WekaManeno

Mpina Aibana Wizara ya Fedha Bungeni I Majibu ya Wizara Yameshindwa Kumridhisha Spika I Awapa Nafasi

21609
158
67
00:08:56
22.09.2022

#WekaManeno Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ameitaka Wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali la Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ambalo aliuliza swali kwa nini kesi 1097 za kodi zenye thamani ya shilingi Trilioni 360 na Dola za Kimarekani milioni 181.4 hazijaamuliwa hadi sasa. Kutokana na majibu ya Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande kwenda kinyume na swali la Mhe. Luhaga Mpina ndipo Spika akampa nafasi Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa ajili ya kulitolea ufafanuzi naye majibu yake hayakufanana na swali Mbunge wa Kisesa. Baada ya Spika kutoridhika na majibu ya Wizara ya Fedha na Mipango ametoa fursa ya kujibiwa tena kama ambavyo limeulizwa na Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mina. Mjadala wote tumekuwekea kwenye akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media" #Fiesta2022 #MchongoFiesta

Luhaga Mpina: Trilioni Zetu 360 Zipo Wapi..! I Bunge Nzima Linapiga Makofi kwa Trilioni 1.3

37119
150
56
00:03:33
05.11.2021

"Tulisema hapa Wabunge tunazo Trilioni 360 zimeshikiriwa na Mahakama uamuzi haujatoka, nilitegemea hapa kwenye mpango isemwe kwamba hizo Trilioni zetu 360 zipo wapi, leo hapa Bunge nzima linapiga makofi kwa Trilioni 1.3 tuliopewa na IMF Fedha ndogo tunapiga makofi hadi Mikono inauma." Mhe. Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa leo Bungeni amechangia Mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya Serikali na mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2022/23 uliowasilishwa siku ya jana na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Mwigulu Nchemba. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

Tazama Mbunge Mpina alivyouma na kupuliza akichangia kwenye Bajei ya Kilimo

6185
20
12
00:07:04
18.05.2022

Mbunge Luhaga Mpina akizungumza bungeni alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka wa Fedha 2022/2023, jijini Dodoma.

Waziri Mwigulu apata kigugumizi ashindwa kujibu swali la Mbunge Mpina | Spika Tulia aingilia kati

12352
67
32
00:07:56
22.09.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Full Video: Mbunge Msukuma alivyomvaa Mpina kuhusu basi lake, ataja samaki watatu kuliponza.

15870
87
7
00:10:32
08.04.2022

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku ‘Msukuma’ jana leo alianza kufukua makaburi kuhusu basi lake lililokamatwa kwa kosa la kuwa na samaki watatu akisema linaozea kituoni lakini anashangaa aliyehusika yeye analalamika. Msukuma ametoa kauli hiyo wakati akichangia katika hotuba ya makadilio ya mapato na matumizi kwa Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara zilizochini yake ambapo amesema kuna watu huwa wanajisahaulisha wakisha kuwa nafasi za juu. Hata hivyo Spika wa bunge Dk Tulia Akson amekea kauli hiyo akisema siyo sehemu ya mjadala ulio mbele ya bunge na kumtaka mbunge kujielekeza kwenye hoja mahususi huku akimsihi kufuta kauli yake aliyosema message delivery (ujumbe umefika).

MBUNGE MUSUKUMA ALIVYO MTOLEA UVIVU WAZIRI MPINA

258119
621
79
00:05:40
06.02.2018

Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amemshukia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia taarifa ya kamati ya bunge ya kilimo, mifugo na maji iliyowasilishwa bungeni, mjini Dodoma leo.

Mpina anusa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere; ataka kamati teule kuchunguza

22847
114
57
00:10:47
09.11.2022

Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina ametaka kuundwa kwa kamati teule kwenda kuchunguza mradi wa kufua umeme wa maji wa Mwalimu Nyerere kwasababu mara nyingi wamekuwa wakiletewa taarifa za mkanganyiko. Mpina ameyasema hayo leo Jumatano, Novemba 9,2022 wakati akichangia Mpango wa Taifa wa Maendeleo pamoja na Mapendekezo ya Mwongozo wa Maandalizi ya Mpango na Bajeti kwa Mwaka 2023/24.

Mpina alipuka bungeni katakata ya umeme Msukuma amjibu

22828
142
96
00:04:57
16.02.2022

Mbunge wa Geita Vijijini kwa tiketi ya CCM, Joseph Msukuma leo alimpa taarifa bungeni mbunge mwenzake Luhaga Mpina, kuwa kuhusiana na suala la kata kata ya umeme na yeye angejibiwa kama alivyojibiwa jana na Serikali Hata hivyo Naibu Spika, Mussa Azzan Zungu aliikataa taarifa hiyo na kusema kuwa sio taarifa, huku mbunge Mpina akiikataa taarifa hiyo akisema kuwa udhaifu wa Waziri abaki nao Waziri na Rais asiingizwe kwenye suala hilo.

MPINA 'AVURUGA' BUNGE, SPIKA AMUWAKIA NA KUMZIMIA MAIKI WAKATI AKICHANGIA HOJA, WAZIRI AMJIBU..

40007
137
60
00:03:43
08.04.2022

MPINA 'AVURUGA' BUNGE, SPIKA AMUWAKIA NA KUMZIMIA MAIKI WAKATI AKICHANGIA HOJA, WAZIRI AMJIBU.. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, akiuliza swali la nyongeza Leo Aprili 8, 2022, amehoji kuhusu ahadi iliyotolewa na wizara ya Mifugo ya kurudisha Mifugo ya wafugaji walioshinda kesi mahakamani... ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

BULEMBO AMCHONGEA MBUNGE MPINA KWA KINANA, AMTETEA MAKAMBA ISHU YA MAFUTA - ''NI MSALITI''..

13196
57
141
00:11:16
07.04.2022

BULEMBO AMCHONGEA MBUNGE MPINA KWA KINANA, AMTETEA MAKAMBA ISHU YA MAFUTA - ''NI MSALITI''.. Kufuatia uamuzi wa kufuta tozo ya shilingi 100 ya mafuta uliotangazwa na Waziri wa Nishati na Madini, January Makamba, uamuzi huo umeleta sekeseke baada ya Mbunge Mpina kuhoji uamuzi huo wa Waziri wa Nishati. Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo amezungumza na waandishi wa habari akifafanua mambo mbalimbali ya ndani kuhusiana na sakata hilo. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Bungeni: Mpina Aikataa Taarifa ya Waziri Simbachawene I Wasafirishaji wa Dawa za Kulevya Waguswa

1361
9
1
00:03:15
14.09.2022

#WekaManeno Bunge limeendelea kujadili muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (Na.2) wa mwaka 2022( The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No, 2) Act, 2022], Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina ni mmoja wa Wabunge waliochangia muswada huo ambao unaenda kufanya marekebisho ya Sheria katika sehemu Tatu (a) Sheria ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu (b) Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (c) Sheria ya Kanuni ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Akiwa ananchangia muswada wa Sheria ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Mbunge wa Kisesa amesema Serikali haijakamilisha ujenzi wa Magereza ya kila Wilaya ambayo inapelekea baadhi ya mahabusu kuhamishiwa Magereza zingine kutokana na changamoto za Fedha za ujenzi wa mahabusu. Baada ya mchango huo ulipoendelea kuchangiwa na Mhe. Luhaga, Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Utaratibu na Bunge Mhe. George Simbachawene aliomba kutoa taarifa kwa mchangiaji ili kuweza kufafanua suala hilo. #Fiesta2022 #MchongoFiesta

MACHOZI YA MPINA AKIMUELEZEA BABA YAKE “BADO NINA MSIBA WA JPM MOYONI"

4550
20
23
00:08:31
21.06.2021

Mwili wa Baba mzazi wa Mbunge wa jimbo la Kisesa Luhaga Mpina umezikwa june 20 2021 kijijini kwake Isangijo, mtoto wa Marehemu ambae ni Mbunge Luhaga Mpina ameelezea sifa za Mzee kwa kusema hadi umauti unamfika Baba yake alikuwa ana umri wa miaka 90, na kila alipowasilisha hoja Bungeni alitakiwa kurudi nyumbani kujieleza alichokisema Bungeni kwa Wananchi wake

🔴#LIVE: IBADA ya MSIBA wa MAMA YAKE MBUNGE wa KISESA LUHAGA MPINA YAFANYIKA MWANZA...

2566
11
4
00:38:44
07.06.2022

🔴#LIVE: IBADA ya MSIBA wa MAMA YAKE MBUNGE wa KISESA LUHAGA MPINA YAFANYIKA MWANZA... IBADA ya kumuaga mama wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina inafanyika leo Juni 07, 2022 Jijini Mwanza.. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Musukuma Amkataa Mpina I Atulie Msumari Umuingie I Mradi Umeme Umeenda Mara 2 Tangu Ulivyoachwa

25867
112
16
00:01:45
08.04.2022

"Mimi ni muhanga wa Mpina, mpaka hivi navyozungumza Basi langu lilikamatwa na Samaki Watatu bado lipo Polisi, hivyo unavyowatendea wenzako utulie na wewe Msumari ukuingie.” Mhe. Joseph Musukuma Mbunge wa Geita Vijijini , amewataka baadhi ya watu ambao wanatumia sauti ya video clip zake ili kumgombanisha na baadhi ya viongozi waache. Msukuma ameyasema hayo leo Bungeni Jijini Dodoma, wakati wa kujadili Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Makadirio ya mapato na matumizi 2022/2023. Mbunge huyo wa Geita Vijijini, ametoa kauli hiyo kufuatia sauti ya video clip ya Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhanga Mpina, inayosambaa mitandaoni akidaiwa kumuhisisha na sauti zake ambayo aliwahi kuchangia Bungeni suala la Bwawa la Mwalimu Nyerere. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

MUSUKUMA ACHAFUKWA! ISHU YA MRADI WA MWL. NYERERE, AMVAA MPINA - "TUSIMVURUGE RAIS''..

36105
207
179
00:12:36
09.04.2022

MUSUKUMA ACHAFUKWA! ISHU YA MRADI WA MWL. NYERERE, AMVAA MPINA - "TUSIMVURUGE RAIS''.. Baada ya Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuzua mijadala kufuatia kauli yake juu ya Waziri wa Nishati na Madibni, Mhe. January Makamba na utekelezaji wa bwawa la Mwalimu Nyerere, Global TV imefanya mahojiano maalumu na Mbunge Musukuma ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Nishati na Madini. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Luhaga Mpina awasha moto tena Bungeni "Tumekopa mkopo mkubwa | Wabunge kataeni mpango huu"

4614
19
17
00:13:20
20.06.2022

Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍

Mpina: Udhaifu wa Waziri Autetee Mwenyewe I Mpina Asimamia Kidete Katakata ya Umeme Tanzania

36187
159
81
00:04:34
16.02.2022

“Kwa majibu ya Serikali yaliyotolewa, taarifa ya Nishati iliyowasilishwa na majibu yaliyotolewa zamani na Serikali kwenye Bunge hili, ninaomba jambo hili tulifikishe mwisho. Tumeshawahi kuyafikisha mambo magumu mwisho, tuliwahi kufikisha Richmond, ESCROW na hili kwa majibu ya mkanganyiko yanayotolewa na Serikali kuhusu katakata ya Umeme ya Watanzania, na kuwapelekea kwenye dhiki kubwa, Viwanda vinafungwa, uzalishaji unashuka na kupelekea mfumuko mkubwa wa bei..” Mhe. Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa akichangia mchango wake baada ya kamati ya Bunge ya Bajeti kuwasilisha Bungeni Jijini Dodoma. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates

#TAZAMAl "TUTAJENGA MAHABUSU KILA SEHEMU, HII NCHI GANI?", MBUNGE MPINA ALIVYOKIWASHA LEO BUNGENI

388
4
4
00:13:29
14.09.2022

Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: 🤍 HabariLeo: 🤍 DailyNews: 🤍 INSTAGRAM; HabariLeo: 🤍 SpotiLeo: 🤍 TWITTER; Twitter HabariLeo: 🤍

VITA YA KITI CHA USPIKA, MBUNGE MPINA NAYE ACHUKUA FOMU...

2430
11
10
00:00:56
14.01.2022

MBUNGE wa Jimbo la Kisesa na kada wa Chama cha Mapinduzi Mheshimiwa Luhaga Mpina amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kujiuzulu kwa Aliyekua Spika wa Bunge Hilo Mheshimiwa Job Ndugai VITA YA KITI CHA USPIKA, MBUNGE MPINA NAYE ACHUKUA FOMU... WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

🔴#LIVE: MBUNGE MPINA Avunja UKIMYA, ACHAMBUA MFUMO wa ELIMU ya TANZANIA...

8463
45
20
01:04:15
06.05.2021

🔴#LIVE: MBUNGE MPINA Avunja UKIMYA, ACHAMBUA MFUMO wa ELIMU ya TANZANIA... MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, leo Mei 06, amezungumza na wanahabari kuhusiana na hotuba aliyoitoa Waziri wa elimu, Profesa Joyce Ndalichako, jana Mei 05 akiwa Bungeni jijini Dodoma... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MBUNGE MPINA AZIMIWA MAIKI, AENDELEA KUONGEA BILA MAIKI, AKILIPUA WIZARA YA KILIMO YA BASHE..

5433
33
19
00:07:30
18.05.2022

MBUNGE MPINA AZIMIWA MAIKI, AENDELEA KUONGEA BILA MAIKI, AKILIPUA WIZARA YA KILIMO YA BASHE.. WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe, amewasilisha makadirio ya bajeti yake Bungeni, ambapo wabunge wameendelea kuchangia hoja, leo Mei 18, 2022. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

MPINA ACHARUKA BUNGENI, AWAGEUKIA MAWAZIRI "WAMEVUNJA KATIBA, HATUWEZI KUKUBALI WANANCHI WAZURUMIWE"

4469
15
16
00:08:05
04.06.2021

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina afunguka Bungeni juu ya wafugaji walioshinda kesi Mahakamani.

MBUNGE LUHAGA MPINA Alivyoishauri WIZARA YA Elimu KUBADILI MFUMO WA ELIMU....

10935
47
20
00:12:06
04.05.2021

MBUNGE LUHAGA MPINA Alivyoishauri WIZARA YA Elimu KUBADILI MFUMO WA ELIMU.... NI mkutano wa tatu, kikao cha kumi na nne cha Bunge la 12. umeendelea leo Mei 04, ambapo mawaziri wamewekwa kikaangoni kuulizwa maswali na wabunge. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

TANESCO WAMTIBUA MBUNGE MPINA, AWASHA MOTO - "KWANINI WAKATE UMEME, HUJUMA ZINAFANYWA NA SERIKALI."

5886
30
24
00:09:06
17.02.2022

TANESCO WAMTIBUA MBUNGE MPINA, AWASHA MOTO - "KWANINI WAKATE UMEME, HUJUMA ZINAFANYWA NA SERIKALI." Mbunge Mpina amesimama bungeni leo 17 Feb 2022, na kuchangia hoja akiwa katika majukumu yake ya kuwawakilisha wananchi waliomchagua. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍

Назад
Что ищут прямо сейчас на
MBUNGE MPINA 卒花 havana business english susulaw zara singer Penélope Cruz real crime anime online income 白髮 軍幕 КШУ 有給 jäger beruf doll shoes 犬語 lucerne isviçre lahko советы тамары глобы erkir